LIVE : | PREMIER LEAGUE
MICHEZO YA LEO JUMAMOSI, 04 MARCH 2018.
Burnley 15:30 Everton
Leicester City 18:00 AFC Bournemouth
Southampton 18:00 Stoke City
Swansea City 18:00 West Ham United
Tottenham Hortspurs 18:00 Huddersfield Town
Watford 18:00 West Bromwich Albion
Liverpool 20:30 Newcastle United
__________________________________________________________________
Mchezo wa kwanza na unaondelelea hadi hivi sasa .........
HT
Burnley O-1 Everton
Cenk Tosun 20'
- (20') Ni goli la kwanza kwa mshambuliaji huyu kutoka Besiktas ya Uturuki ! Ilikua ni free kiki ambayo ilipigwa kuelekea lango la Burnley lakini haikuzaa matunda na baada ya muda mfupi Everton wakawasukuma Burnley kuelekea lango lao ndipo Walcott alipopiga krosi kwenda kwenye eneo la 18 ikamkuta Coleman ambaye aliurudisha nyuma mpira ukamkuta Tosun ambaye alikua peke yake na kufunga goli kirahisi kwa kichwa.
- (56') GOAAAAALLLLL!!!!!!! Barnes anaisawazishia Burnley baada ya kupokea pasi zuri kutoka kwa Lowton ambapo mpira ulielekea kwenye boksi ya Everton na kumfanya Barnes kupiga shuti kali lililomshinda mlinda mlango wa Everton Jordan Pickford na kufanya matokeo kuwa 1-1.
- (80') GOAAAAAALLLL!!!!!!! Burnley wanapata bao la kuongoza baada ya kona nzuri kutoka kwa Gudmundsson ambayo ilielekea moja kwa moja hadi kichwani kwa Wood ambaye alikuwa karibu na mlinda mlango wa Everton na kufunga goli kirahisi, Burnley 2-1 Everton.
- (86') KADI NYEKUNDU!! Williams anatolewa nje .
- (90+3') MPIRA UMEMALIZIKA!!!!!!
FT
Burnley 2-1 Everton
Ashley Barnes 56' Cenk Tosun 20'
Chris Wood 80'
........................................................................................................................................................................................................
Leicester City 1-1 AFC Bournemouth
Riyad Mahrez 90+7' Joshua King (P) 35'
Southampton 0-0 Stoke City
Swansea City 4-1 West Ham Unite
Sung Yueng Ki 8' Michail Antonio 79'
Mike Van der Hoorn 32'
Andy King 48'
Jordan Ayew (P) 63'
Tottenham Hortspurs 2-0 Huddersfield T own
Heung Min Son 27', 54'
Watford 1-0 West Bromwich Albion
Troy Deeney 77'
.............................................................................................................................
MCHEZO WA MWISHO ULIOCHEZWA SAA 20:30
- Liverpool iliwakaribisha Newcastle United katika uwanja wa Anfield , Pia ulikuwa ni urejeo mzuri wa kocha wa Newcatle United Rafa Benitez ambaye aliacha kumbukumbu nzuri ya ubingwa wa UEFA Champions League akiwa na Klbu hiyo mwaka 2005.
FT
Liverpool 2-0 Newcastle United
Mohamed Salah 40'
Sadio Mane 55'
No comments