LIVE : | LIGI KUU TANZANIA BARA
MICHEZO YA LEO JUMAMOSI, 04 MARCH 2018.
Njombe Mji 14:00 Ruvu Shooting
Tanzania Prisons 16:00 Mbao Fc
Azam Fc 19:00 Singida United
_____________________________________________________________________________
Mchezo wa kwanza uliomalizika katika dimba la Sabasaba mjini Njombe.
FT
NJOMBE MJI 2-1 RUVU SHOOTING
Ditram Nchimbi 27' Baraka Mtuwi 32'
Jimmy Mwasondola 56'
Baada ya matokeo hayo, sasa Njombe Mji inapanda hadi nafasi ya 13 ya msimamo wa Ligi Kuu huku ikifikisha alama 18.
.....................................................................................................................
Mchezo unaoendelea hivi sasa katika dimba la Sokoine jijini mbeya..
HT
TANZANIA PRISONS 1-0 MBAO FC
Mohammed Rashid 11' (P)
- MCHEZO wa Ligi kuu kati ya Tanzania Prisons na Mbao Fc umeahirishwa katika dakika ya 50' kipindi cha pili kutokana na hali ya uwanja kutoruhusu mechi kuendelea. Uwanja umejaa maji kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.
- Mchezo huo utaendelea tena jumapili saa 10:00 asbuhi.
Mchezo mwingine uliochezwa saa 19:00 usiku
FT
AZAM FC 1-0 SINGIDA UNITED
Joseph Mahundi 16'
Azam Fc baada ya ushindi huu wamesalia nafasi yao ya tatu wakiongeza alama hadi kufikia alama 38 huku Singida United ikisalia nafasi ya nne ikiwa na alama zake 34.
No comments